JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Kabisaa kuna watu life unaloliigiza kwao bado ni shit life. Bora ukae kwenye lane yako maana kwanza unakuwa na peace of mind.
.m

By the way naona macho mazito mkuu [emoji22][emoji22].nahisi ntaangusha gari muda sio mrefu
[emoji23][emoji23][emoji23] nina muhuni wangu anasemaga hizi vurugu akiona watu wahivyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom