Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 27,599
- 53,380
Junior account ya crdb unaruhusiwa kutoa hela mara tatu tu ndani ya mwaka ,hilo ni sharti ya kuiendesha account hiyoHizi junior account nazo sio vizuri kuzitoa toa hela. Ni vizuri zikaemo siku ukikwama kabisa ndio zitoe tafu.
Sent using Jamii Forums mobile app