JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Nashukuru watu hawaogopi ukimwi kabisa wamejiweka tayari kwa lolote .
ni hatari sana mambo yanazidi kuwa mengi .

Sent using Jamii Forums mobile app
Huko kusini mtoto mdogo anafundishwa kutumia vidonge vya majira yani cha kulindwa ni hadhi ya familia kuwa binti hakuzalia nyumbani ila kuhusu ukimwi hawajali sana unless wawe wamebadilika
 
Ni hatari naona elimu itolewee kwa wananchi zsidi waweze kujikinga na hili tatizo mapema .

Kuna wanawake wajawazito wapo wana neglect kutohudhuria clinic ASAP mara baada ya kugundua they are pregos

wengine wanakaa five months bila kwenda clinic hii inaweka mtoto kwa risk sana .

Hizo hospitali zenyewe haswa vijijini zinatia huruma sana. Elimu Elimu Elimu
 
[emoji23][emoji23] ananiwekea bure huyu mm sitoi hela tena nakumbuka kuna muda nilidanganya Pc mbovu tu ili niweze kuchange window .

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikajua na hela unatakiwa ujifunze sasa yaan sawa na mtu mwenye gari alafu anaendeshwa kilasiku ajui kuendesha mwenyewe.
 
ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ ᵏᵃᵖⁱᵗᵃ​
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
02:10

Cᵃʳᵉᵉᵐ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᵈ
 
Adjustments.JPG

Ulimwengu wa Samaki Mkubwa anamla Mdogo
 
Naona kawaida tu hakuna kilichobadilika.
Then huna cha kuficha na upo real humu. Unajiamini personally. Mimi nina tendency ya kuchat na watu wenye situations ambazo si nzuri na mara nyingi huwa nawafungukia kuhusu life langu black and white. Sasa nikisema niweke jina langu halisi itakuwa mtihani bro
 
Back
Top Bottom