Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Kwanza hiyo 7 huwezi tena update saiz wameshaitupa MS kuanzia 2020.
Kwanza hiyo 7 huwezi tena update saiz wameshaitupa MS kuanzia 2020.
Daah kitambo sana huyu kiumbe..Majukumu boss ila tupo man.
Iceman umempoteza wapi aisee
Kwanza hiyo 7 huwezi tena update saiz wameshaitupa MS kuanzia 2020.
[emoji109]Nakusoma mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Inapendeza.
Ndio mazoea na ukame wa pesa [emoji23][emoji23]
Navyojua mm ni kwamba wanavaa ilikuwa linda wawapendaoWapo potrayed kama watu waliopo attached sana na jukumu lao kuliko kupewa credits na watu
Kwahiyo piga chini pandisha 8, 10 huko ndio utaweza update.
Daah kitambo sana huyu kiumbe..
Unfortunately hata sina # ningemcheki kumjulia hali. Maana muda mwingi sana
Kwahiyo piga chini pandisha 8, 10 huko ndio utaweza update.
Kuficha uhalisia wao na kingine ishakuwa kama tradition. Forum ni lazma utumie id fake ili uweze kuwa wazi kimawazoNavyojua mm ni kwamba wanavaa ilikuwa linda wawapendao
Sasa na humu watu kutumia Id fake tofauti na majina yao wanamaanisha nn?
Pole asee ndio maana hiyo kanda ukimwi ni ngumu kutoka maana mazingira yanashawishi. Mfano dar kikinyesha kimvua kidogo tu watu wanaona uvivu hata kwenda kaziniNi kweli kabisa ,nilifikia guest moja hapo mjini ukitoka tu nje wadau wanakuuliza unataka company nikawa nashangaa tu kumbe ndo maeneo yao hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
ok natamani tungepata mawazo ya wengine wao wanasemaje kuhusu hili.Kuficha uhalisia wao na kingine ishakuwa kama tradition. Forum ni lazma utumie id fake ili uweze kuwa wazi kimawazo
Ooh umeaona sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasema mwaka huu loh..
Pole asee ndio maana hiyo kanda ukimwi ni ngumu kutoka maana mazingira yanashawishi. Mfano dar kikinyesha kimvua kidogo tu watu wanaona uvivu hata kwenda kazini
Ooh umeaona sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasema mwaka huu loh..
True brook natamani tungepata mawazo ya wengine wao wanasemaje kuhusu hili.