Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,786
- 45,268
Huko nimewahi kupita tuu sema ninaelewa hiyo wabeja ni ahsante.Jibu lako ndio sikuelewa.Mkuu nikajua wa kanda ya ziwa.. hiyo ni sawa na kusema ahsante kwa kushukuru kwa lugha ya akina ngosha
Huko nimewahi kupita tuu sema ninaelewa hiyo wabeja ni ahsante.Jibu lako ndio sikuelewa.Mkuu nikajua wa kanda ya ziwa.. hiyo ni sawa na kusema ahsante kwa kushukuru kwa lugha ya akina ngosha
Aah! Ilikuwa ufie humo mpaka kufika monie wangekukosa.
Shikilia button ya shift na hiyo Button ya Wi-Fi kwa pamoja alafu niambie taa imewaka?
Nitakutafuta.
Siku ukiwa nayo hit my pm nitakuelekeza jinsi ya kuwasha mm kuna pc nimeacha moro ina window 7 na nilikuwa natumia Wi-Fi.
Popo aliyesaliti kazi
Dunia imebadilika na ww unatakiwa ubadiklike tumia window 8, 10 nk...Okay nitafanya hivyo ila hii window inaboa nataka window 10 napenda features zake hta km 7 ni nzuri zaidi .
Sent using Jamii Forums mobile app
Umefurahi mwenyewe.
I'm good man..We boya sana umebadiri username pumbafu kabisa.
Aje aje man
Pamoja mkuuHuko nimewahi kupita tuu sema ninaelewa hiyo wabeja ni ahsante.Jibu lako ndio sikuelewa.
Dunia imebadilika na ww unatakiwa ubadiklike tumia window 8, 10 nk...
Nakusoma mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mm simaindigi huwa napenda sana jokes.
I'm good man..
Naona mmetukimbia..
Wapo potrayed kama watu waliopo attached sana na jukumu lao kuliko kupewa credits na watuSasa kwann wasivue wakawa fame?