JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Ooh sawa wenyeji wa huko wamezoea tayari hali yao hio . moro sio sana inategemea na miezi km wa nane kulikuwa na baridi flani

Sent using Jamii Forums mobile app
Njombe ni kisanga ..kuna siku tulipita night tukakuta wadangaji wamevaa short dresses nkasema wana moyo hawa wakati huo nnatweta japo nina koto jepesi
 
Hahaha tulikuwa nje pale tunaangalia wapita njia basi mm nikasikia kiu nikawambia dadq zangu nasikia kiu mnipe maji wao wapo kimya .

Sikutaka kuwasumbua nikaenda ndani na kufungua freezer nilikuwa kafupi ile nafungua tu kuchukua chupa nikaingia mzima humo ndani na likajifunga npo humo ndani ,
Mungu ni mwema wakaanza kunitafuta baadaye wakanipata kwny humo kwa freezer nikatoka pale natetemeka mno .
Embu elezea kidogo ilikuwaje maana naona ilikuwa ni suicide hiyo kitu [emoji17]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha tulikuwa nje pale tunaangalia wapita njia basi mm nikasikia kiu nikawambia dadq zangu nasikia kiu mnipe maji wao wapo kimya .

Sikutaka kuwasumbua nikaenda ndani na kufungua freezer nilikuwa kafupi ile nafungua tu kuchukua chupa nikaingia mzima humo ndani na likajifunga npo humo ndani ,
Mungu ni mwema wakaanza kunitafuta baadaye wakanipata kwny humo kwa freezer nikatoka pale natetemeka mno .

Sent using Jamii Forums mobile app
Aah pole sana ilikuwa ni hatari mno.
 
Back
Top Bottom