JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mkuu sio kukomoana huko. Mimi vitabu nishasoma ila naona kama havinipendi na ukikaa mazingira ambayo hukiongei naona kabisa british council pananiita
Hahahaaa mimi lugha ya Spanish na Deustch ndio kuna muda inanitoroka maana sipati wa kuongea nae. Mpaka niwe na bro mmoja ambae ni guide anaelewa kidogo hizo lugha..so tunapiga vistori.
 
Back
Top Bottom