Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,209
- 99,959
Kumekuchaa
Now Watching
Spiderman Far from Home.
Hongeraa sana mkuu mm kusoma kwa simu daa ngumuNow reading The way of the superior man
Hongeraa sana mkuu mm kusoma kwa simu daa ngumu
Mwanzo nilikuwa najipa moyo kweli nadoma sana kwa simu ila now duuh.. Siwez. Napenda nipate Hardcopy. Laiti ningekua na uwezo ningejaza mavitabu chumbani mwanguMwanzo ni ngumu ila siku zinavyokwenda inakuwa rahisi,mazoea tu.
Lakini siku hizi kama upo town kama dar hardcopy ni nyingi sanaMwanzo nilikuwa najipa moyo kweli nadoma sana kwa simu ila now duuh.. Siwez. Napenda nipate Hardcopy. Laiti ningekua na uwezo ningejaza mavitabu chumbani mwangu
Siko Dar mkuu.. nje ya mji kabisa nipoLakini siku hizi kama upo town kama dar hardcopy ni nyingi sana
Siko Dar mkuu.. nje ya mji kabisa nipo
Hello popoz
Ahsante sana mkuu
Sijambo, mambo..jambo ww
SawaAhsante sana mkuu
Unamisiwa... au bado waninuniaSawa
Za jioniSawa
Niko poa rafiki yanguUnamisiwa... au bado waninunia