Astelia
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 1,049
- 3,547
[emoji2][emoji2][emoji2]
Salama uko poa?
[emoji2][emoji2][emoji2]
Nafurahi kusikia hvo mamiiNiko poa rafiki yangu
Sijambo, mambo..
HayaNafurahi kusikia hvo mamii
Nipo nimejaa tele, nashukuru kwa kunisabahiSalama, nimekuona hapa nikawiwa kukusabahi...mchana hapana ona sana wewe
AhsanteHaya
Hello popoHello popoz
Hello popoz
mm nimemaliza kuangalia movie saa hii [emoji23]Kila mtu aseme anachokifanya saa hii
Mi wa mwisho[emoji23][emoji23]
Nipo mlinzi mwenzako lakini niko lindo na kirungu tu.Walinzi wenzangu vipi..
Muvi ga?mm nimemaliza kuangalia movie saa hii [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] unapanda nao hivyo hivyo hadi kitandani.View attachment 1266250 mguu wa mtafutaji
JokerMuvi ga?
Tu hadithie kidogo
Dah kuhadithia huo ni mtihani unanipa mkuu [emoji22]Tu hadithie kidogo