Latimore Mimo wangeci
JF-Expert Member
- Feb 1, 2019
- 898
- 1,081
Narudi[emoji125]
Mpaka ushindi upatikane.. Ila in reality ni kitu kigumu sana..Popoz kesho uwanja wa Taifa bei ya bia ni nusu bei
Happiness is a lifestyle
Tuko radaNawasalimia waungwana,kama siwaoni vile.
Tuko rada
Tayari tunazikokomera hapaPopoz kesho uwanja wa Taifa bei ya bia ni nusu bei
Happiness is a lifestyle
[emoji23] [emoji23]Tayari tunazikokomera hapa
Nomaah tumeomba sana...jaman nmewamiss humu we na mkeo Thad[emoji23] [emoji23]
Wacha weeh, kweli maombi ya walevi yana nguvu
Utamu wa njugu ni kula moja moja[emoji125][emoji124]
"utamu wa uji ni kutingisha bakuli"
[emoji23] [emoji23]Nomaah tumeomba sana...jaman nmewamiss humu we na mkeo Thad
Hamjambo wapenzi
Nawasalimu kwa jina la taifa stars
Ewaa meseji hii ilikuwa yako sema tu niliweka wingi kuzugaSijambo mpenzi, hofu kwako.