Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,112
- 124,675
HaswaaNi zamu yetu, tukutane Misri.
HaswaaNi zamu yetu, tukutane Misri.
We fundi wa niniAlaaaah
yes bishoo haswaaa
Ewaa meseji hii ilikuwa yako sema tu niliweka wingi kuzuga
[emoji23][emoji23][emoji23] eeh nataka kesho useme unalinda peke yakoHahaha, unataka nikeshe lindoni kwa masifa.
Sasa hivi unaenda wapiNarudi ....!
Sasa hivi unaenda wapi
[emoji23][emoji23][emoji23] eeh nataka kesho useme unalinda peke yako
Pole sanaNachukua vitunguu swaumu/saumu mafua yananisumbua sana.
Haha ngoja niwaage, lindo jemaHahaha, aisee usinifanyie hivyo.
Tumejaa teleWadau mpo
Sent using simu mbovu
Pole sana
Haha ngoja niwaage, lindo jema
Na wewe unaondoka? Jamani mimi na Don Clericuzio tunawaaga tuonane lindo lijaloAga na kwa niaba yangu pia.
Kwema za wewe bossKwema
Sent using simu mbovu