Yeah ni kweli ....lakini wale jamaa ni team kubwa na wamejipanga muda mrefu.... Tofauti na nyinyi ambao mnapitia Maputo ya kuwa na coacher mpya ...nikisema kuwa ndio mmeanza kujipanga sinto kuwa nakosea
Ni kweli kabsa,wala hujakosea tupo kwenye kiping kigumu,acha tukomae na top 4 kwanza,hlf tuone UEFA ya msimu ujao tutakuja na jipya gani
 

Sijasoma chochote kutoka Kenya, nilikuwa naona kama nitawapa sifa nikisoma kitabu cha Kenya au Uganda.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…