Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,545
- 81,366
Nifumbueni na mimi akili ipate kituZawadi nakuandalia
Na nakshi naitia
Kwa fumbo kufumbua
Nifumbueni na mimi akili ipate kituZawadi nakuandalia
Na nakshi naitia
Kwa fumbo kufumbua
Uchokoziiii sasa....Utupe sasa na maelezo ili tuelewe sisi maslomoo
Sio uchokozi sijaelewa kweli. Ila kama umesema hivyo sawa, nisipokumbuka ina maana ndio imepita hiyo [emoji23][emoji23]Uchokoziiii sasa....
Tukiwa off duty nitawaelewesha wale wote maslomoo
Nitakukumbusha. ....Sio uchokozi sijaelewa kweli. Ila kama umesema hivyo sawa, nisipokumbuka ina maana ndio imepita hiyo [emoji23][emoji23]
Okay. Wajumbe wamekimbia lindoNitakukumbusha. ....
Za asubuhi waungwana
Salama tu mkuuZa asubuhi waungwana
Upo salama?Asubuhi ya wapi tena bi Zuleykha ?
Dooh gereza lipi?
Wapo PM mkuu wanalinda huko leoKwa hiyo ndio mmegoma hamtaki kuchat !?
Basi ngoja nimrejeshee bimkubwa simu yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unadaiwa kodi ya nyumba basi usingizi una upata kwa hesabu za MAGAZIJUTO .. haurudi nyumbani kulala mpaka umvizie mwenye nyumba akiwa ameshapitiwa na usingizi
Sent using Jamii Forums mobile app