Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 27,579
- 53,304
Mzee baba lindo vipi kuna wafungwa wametoroka. Halafu unahusika.Salama tu mkuu
Why why mimi peke yangu ndiye nina mkosi wakuto pata wakumpeleka huko Pm daah
haa hahahaKwa hiyo ndio mmegoma hamtaki kuchat !?
Basi ngoja nimrejeshee bimkubwa simu yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya NOVENA mwezi mzima halafu uje nipa majibuWhy why mimi peke yangu ndiye nina mkosi wakuto pata wakumpeleka huko Pm daah
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo salama?
Usiku sana nikimuona bidada hajasinzia huwa napataga imagination kali pale alipoUsingizi umenisaliti
safi sana ZurriNiko poa sana bibie.
Niamini, funga sali novena usile kuku, pilau, nyama choma chips [emoji489] ukiomba waje PM wakutafute
safi sana Zurri
Hahaa nisile nini !? Aise hayo masharti mbona kama nimeanza kushindwa mapema hivi mkuuNiamini, funga sali novena usile kuku, pilau, nyama choma chips [emoji489] ukiomba waje PM wakutafute
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesahau password ya pm