Bwana Mrefu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 408
- 1,005
Dah basi nalia mimi ..na thichedhi na weweNimesahau password ya pm
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaa nisile nini !? Aise hayo masharti mbona kama nimeanza kushindwa mapema hivi mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Utafute mfukoni au ubipu utauona [emoji3][emoji3]Usingizi wangu Leo sijui umeenda wapi... Najitahidi kuusaka lakini holaa [emoji14][emoji14]
Wamenizidi nguvu baada ya walinzi wenzangu kuniacha mwenyewe. Tufanye msako
Aisee toxic9 hahaa ... wewe ndiye unaye nifanyia fitina mpaka najibiwa hivi .... sijawahi kwenda kwa mganga lakini kuanzia kesho inabidi nianze kufikiria kuhusu kwenda huko ..... hizi sio dalili njema kabisa mkuu mtakuwa mmesha nirogaUtacheza na watoto wenzako sio lazma mimi mama yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nenda mdogo mdogo mwanamke anatakiwa kubembelezwaAisee @toxity hahaa ... wewe ndiye unaye nifanyia fitina mpaka najibiwa hivi .... sijawahi kwenda kwa mganga lakini kuanzia kesho inabidi nianze kufikiria kuhusu kwenda huko ..... hizi sio dalili njema kabisa mkuu mtakuwa mmesha niroga
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kujua mtu yupo wapi bana hivyo inawezekana anatoa salamu kulingana na yeye alipo.
Leo hujagonga gomba? Umesinzia watu wameruka ukutaWamenizidi nguvu baada ya walinzi wenzangu kuniacha mwenyewe. Tufanye msako
Upe talaka kama mimi nilivyofanyaUsingizi umenisaliti
Hahaa sasa kabla huyo mtu haja post comment yake si inampasa kuweza kujua majira ya watu anao chat nao kwanza mkuu ...Huwezi kujua mtu yupo wapi bana hivyo inawezekana anatoa salamu kulingana na yeye alipo.
Mfano wewe mda huu unaweza kuwa unachat na watu wapo Far East huko ukawaambia usiku mwema wakati wenzako kwao ni asubuhi inaelekea mchana saa hizi. [emoji23][emoji23]
Tumia tochi inawezekana huupati kwasababu ya gizaUsingizi wangu Leo sijui umeenda wapi... Najitahidi kuusaka lakini holaa [emoji14][emoji14]
Daah nina wasi wasi sana na wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nenda mdogo mdogo mwanamke anatakiwa kubembelezwa
Sent using Jamii Forums mobile app