JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Kuna birauli nne za maji na bakuli kubwa moja. Kila birauli imeshikwa na mtu wake,amri inatoka na kusema hivi "kila mmoja amimine maji ya kwenye birauli kwenye hilo bakuli". Maji yakamiminwa.

Kisha ikatoka amri,kila mtu achukue maji yake aliyo yamimina kwenye bakuli lile.

Je unaweza kuniambia hapo birauli ni nani na bakuli ni nani ?
 
Dah nimejitahidi ila naona naumwa kichwa [emoji23]
 
Back
Top Bottom