Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Wanalala saa 12 kama kuku wa kizingu[emoji16]Mapema ndo SAA ngapi mama?
Wanalala saa 12 kama kuku wa kizingu[emoji16]Mapema ndo SAA ngapi mama?
Nitakutafuta wapi zaidi ya PM kwa sasa.....Unanitafutia wapi? Pm ilala Temeke Kinondoni au Ubungo?
Na mie nimekua kuku kwahiyo T?Wanalala saa 12 kama kuku wa kizingu[emoji16]
Pm bby anakagua halafu..Nitakutafuta wapi zaidi ya PM kwa sasa.....
Kuna baya nimelifanya?[emoji23]Daaah,yamekuwa hayo tena....Yaani hadharani.
Ndio vizuri ili ajue ni jinsi anaweza kudeal na sisi SIFURI VISIRANI.....Pm bby anakagua halafu..
Unataka niachike wewe. Wakati mwenyewe ndo nimefika hapaNdio vizuri ili ajue ni jinsi anaweza kudeal na sisi SIFURI VISIRANI.....
Yawezekana maana siku nyingi sijakuona hukuNa mie nimekua kuku kwahiyo T?
Hujafanya baya bibie ila nimeamua kukupongeza kwa mtindo ule......Kuna baya nimelifanya?[emoji23]
Huku bwana naingiaga weekend au Siku Kama hizi usingizi ukipaaYawezekana maana siku nyingi sijakuona huku
Usiogope kuachika kwani umezaliwa nae huyo kipenzi chako ?Unataka niachike wewe. Wakati mwenyewe ndo nimefika hapa
Wewe hulioni hilo ? Ila wewe nakutafuta sana,japokuwa unanikimbia.....
Unaona sasa faida ya kufungua mapema, mliokuwa mnatafutana hatimaye mmeonana[emoji23]Unanitafutia wapi? Pm ilala Temeke Kinondoni au Ubungo?
Unanitafutia wapi? Pm ilala Temeke Kinondoni au Ubungo?
Nampenda Sana yeye kuliko wenzake ambao hawana access na pm yanguUsiogope kuachika kwani umezaliwa nae huyo kipenzi chako ?
Halafu ukiachika mimi nipo,usiwe na shaka......
Au KolomijeUsikute abakutafuta useriver!
HahahhaaaaUnaona sasa faida ya kufungua mapema, mliokuwa mnatafutana hatimaye mmeonana[emoji23]
Hujafanya baya bibie ila nimeamua kukupongeza kwa mtindo ule......
Nakuja.....
Tatizo faida huu kama ndondo kela vile yaani sio guarentee kabisa ......Unaona sasa faida ya kufungua mapema, mliokuwa mnatafutana hatimaye mmeonana[emoji23]
Kumbe eeeh!Huku bwana naingiaga weekend au Siku Kama hizi usingizi ukipaa