Dionize N
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,848
- 3,298
How mzee
Umekiuka vigezo vya huu uzi
Umekiuka vigezo vya huu uzi
Ok, basi mida midaBasi ngoja mimi niendelee na lindo mtanijoin
Hatujakusamehe maana ulifungua ukaliacha wazi wewe ukaenda kulala, hukulinda hata kwa nusu saa[emoji23]Leo tena nimewahi!
Lakini ni kusema kumradhi kwa kuchezea ratiba jana!
Sorry wakeshaji!
Tuandalie gah'awa tunakujaBasi ngoja mimi niendelee na lindo mtanijoin
Hatujakusamehe maana ulifungua ukaliacha wazi wewe ukaenda kulala, hukulinda hata kwa nusu saa[emoji23]
Pole sana kipenzi! Leo vipi huna usingizi?[emoji16]Jana nilikuwa na usingizi tani 100!
Nimekuja kuona kila mmoja alinuna!
Iwe na tangawizi!Tuandalie gah'awa tunakuja
Wewe kausha tu,huko tunako elekea tusije kulaumiana,watu wanatushawishi sana kuja huku kabla ya muda......Mbona lindo limeanza mapema?
Daaah,yamekuwa hayo tena....Yaani hadharani.Pole sana kipenzi! Leo vipi huna usingizi?[emoji16]
HahahhahaaaWewe kausha tu,huko tunako elekea tusije kulaumiana,watu wanatushawishi sana kuja huku kabla ya muda......
Narudi.....
Kwasababu watu wanalala mapema siku hizi[emoji23]Mbona lindo limeanza mapema?
Leo twende kazi!Pole sana kipenzi! Leo vipi huna usingizi?[emoji16]
Wewe hulioni hilo ? Ila wewe nakutafuta sana,japokuwa unanikimbia.....Hahahhahaaa
Mapema ndo SAA ngapi mama?Kwasababu watu wanalala mapema siku hizi[emoji23]
Unanitafutia wapi? Pm ilala Temeke Kinondoni au Ubungo?Wewe hulioni hilo ? Ila wewe nakutafuta sana,japokuwa unanikimbia.....
Mapema ndio saa hizi......Mapema ndo SAA ngapi mama?