Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Ngoja nimalizie huu mvinyo nianze mbio mwakani majira kama haya nitakuwa Mogadishu
Ngoja nimalizie huu mvinyo nianze mbio mwakani majira kama haya nitakuwa Mogadishu
Hahaha,hakuna mimi nina kiherere tu,ila nina mapenzi adhwimu sana na lugha hii ya Kiswahili,na nina uhakika ina nidai kitu,na nina pambana kuihudumia lugha hii.Nafurahi sana nikiwasiliana wa wataalam wa lugha yetu adhimu ya kiswahili kama wewe
Kwanini?Ni uongo bwana usijerudia maneno hayo
Hahahahaaaa mzee wa mapichapicha, jivi wewe sio mmoja wao kweli?[emoji6]
Nibakizie naipenda hatareeKaribu, ila inakaribia kuisha
Umejiandaa kupambana ?Ngoja nimalizie huu mvinyo nianze mbio mwakani majira kama haya nitakuwa Mogadishu
Mbio zinanoga ukiwa kibonge. Sasa wewe kimodo na mbio wapi na wapi?Ngoja nimalizie huu mvinyo nianze mbio mwakani majira kama haya nitakuwa Mogadishu
Nibakizie naipenda hataree
Mimi ni Aseno. Tulishazoea haya mamboHahahahaaaa mzee wa mapichapicha, jivi wewe sio mmoja wao kweli?[emoji6]
Tatizo lako ukishaitika kama hivi unapotea mazimaNipoo
Hahahahaaaa nasikia wanaume wanaoshabikia aseno mna mapenzi ya dhati ni kweli?[emoji6]Mimi ni Aseno. Tulishazoea haya mambo
Msalimie boss wako eeeh!Jamani kwaherini nitarudi badae kidogo nimeitwa na boss
Inawezekana aisee kwa sababu yataka moyo sana...Hahahahaaaa nasikia wanaume wanaoshabikia aseno mna mapenzi ya dhati ni kweli?[emoji6]
Hahahaaa mimi nina kilo 105 mkuu, vipi bado sistahili kukimbia?[emoji16]Mbio zinanoga ukiwa kibonge. Sasa wewe kimodo na mbio wapi na wapi?