Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,838
I used to sneak out of the house to go to parties, now I sneak out of parties to go home.
Zimefika bila shaka bestMsalimie boss wako eeeh!
Ila nini?[emoji23]Hahaha,hakuna mimi nina kiherere tu,ila nina mapenzi adhwimu sana na lugha hii ya Kiswahili,na nina uhakika ina nidai kitu,na nina pambana kuihudumia lugha hii.
Natamani nikwambie kitu............Ila.......
[emoji23][emoji23][emoji23]Teamwork is essential, it allows you to blame someone else.
Aaaaaa wapi? Kilo 105 unafikiri mchezo? Kama ni kweli niruhusu nije niwe treina wako wa mbio. Nitahakikisha kuwa huwi dehydrated na una electrolytes za kutosha [emoji16][emoji16][emoji16]Hahahaaa mimi nina kilo 105 mkuu, vipi bado sistahili kukimbia?[emoji16]
Ngoja kesho niweke bandiko love connect ili nitafute mume muasenali[emoji6]Inawezekana aisee kwa sababu yataka moyo sana...
Muda haujafika. Huwa napenda kuweka kila kitu mahala pake.Ila nini?[emoji23]
Teamwork is essential, it allows you to blame someone else.
Kupambana ni sehemu ya maisha yanguUmejiandaa kupambana ?
Umejifunza wapi uchoyoUshachelewa, Imeshaisha
Utawanasa wengi sana [emoji16][emoji16][emoji16]Ngoja kesho niweke bandiko love connect ili nitafute mume muasenali[emoji6]
Kuna kupambana na kupambana hasa. Nakukumbusha tu.Kupambana ni sehemu ya maisha yangu
Njoo, darasa linaanza lini?[emoji39][emoji39][emoji39]Aaaaaa wapi? Kilo 105 unafikiri mchezo? Kama ni kweli niruhusu nije niwe treina wako wa mbio. Nitahakikisha kuwa huwi dehydrated na una electrolytes za kutosha [emoji16][emoji16][emoji16]
I have three hours to play and laugh here. I might leave early though. How about you?Don't forget to sleep EARLY!
Nimeshalewa hata sijakuelewaMuda haujafika. Huwa napenda kuweka kila kitu mahala pake.
Mabay ya kusema jambo muda ambao si muafaka ni makubwa sana kuliko kinyume chake,hapa nazungumzia MASLAHI na MADHARA
Utakuwa umenielewa bila shaka..........
Wewe unataka lianze lini? Mi niko tayari.Njoo, darasa linaanza lini?[emoji39][emoji39][emoji39]
Na haya ndio MADHARA yenyewe.Nimeshalewa hata sijakuelewa
Nishapambana na kupambana hasa, hivyo ondoa shakaKuna kupambana na kupambana hasa. Nakukumbusha tu.
usimtafute nipo hapa ila sijakuona kuleNgoja kesho niweke bandiko love connect ili nitafute mume muasenali[emoji6]