Kwetu maarufu kwa jina la SHARUBATI........Samahani sanaaa......hii juisi leo kiboko
Kwetu maarufu kwa jina la SHARUBATI........Samahani sanaaa......hii juisi leo kiboko
Endeleeni tu haina shida najua mvinyo wangu ukipanda kichwani nitawaelewa tu[emoji23][emoji23][emoji23]Samahani sanaaa......hii juisi leo kiboko
Good night then...Right!
Kwetu maarufu kwa jina la SHARUBATI........
Ndio umakinike nalo sasa.................!Hili jina nalipenda ila nalisahau mara kwa mara
Good night then...
Sleep tight [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Siku hizi hata hizo tatu mpaka akaombe kibali, hivyo mpaka arudi nitakuwa nimeshashibaUna bahati siku hizi mboko hazizidi tatu sijui vinginevyo ungezikoga za kutosha [emoji16][emoji16][emoji16]
Mungu Atubariki [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Thank you!!!
Rest well too.
Ukipambana na mimi utakuwa umenionea, ukiondoka umeniogopa![emoji23][emoji23][emoji23]Huwezi ukawa umelewa ukawa unajimudu,sipendi kupambana na mtu akiwa dhaifu,yaani adui yangu hapaswi kuwa na sababu ya kushindwa katika nafsi yake.
Narudi...............
Ndio umakinike nalo sasa.................!
kama kuna three options 'single' 'married' na 'widowed' na ndoa hamjafunga mnasogezana tu siku atakuwa sahihiUnapeleka bae kuapply job, akifill form pale kwa marital status unaona anamark single [emoji4][emoji4][emoji4]na wewe ndio umelipa fare [emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
Mimi nipo baina ya hizo hali mbili ulizozitaja. Hapo ndipo utakapo nijua mimi ni nani.Ukipambana na mimi utakuwa umenionea, ukiondoka umeniogopa![emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] sio poa kabisaEver sat down and thought
Condom ni mpira ilhali mechi zake hazioneshwi live[emoji848][emoji848]
Nimefurahi kwa kauli yako hiyo.Sitalisahau tena