Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Mtake radhi kwanza usijenunua kesi kizembe
Ngoja nijiachie japo najua namuudhi mtu hapa
Ngoja nijiachie japo najua namuudhi mtu hapa
Haya weee mtoto akililia wembe mpe, ukimkata atajifunzaHilo nalijua vilivyo,kama vile sisi waungwana tusemavyo " Uzuri wa mkakasi ndani kipande cha mti" au "Uzuri wa mkakasi ukiutia maji basi"
Almuhimu nalijua hilo,ila pia tunasema hivi " Chema chajiuza" kama vile ilivyo kwa "Chanda chema huvikwa pete"
Wewe utakua mzuri kweli............
@bbade anamalizia wkend[emoji23]Huyu atakuwa ameshapata vitu sio bure[emoji16]
Huko tunasema "Kumfunza mwana kwa vitendo"Haya weee mtoto akililia wembe mpe, ukimkata atajifunza
Naniii naomba radhi leo nashtua kidogoMtake radhi kwanza usijenunua kesi kizembe
ahsante kwa kuja
NipooWalinzi mko wapi? Mida ya kazi
Shost umeanza lini kukalia viti virefu? Mbona dada yako sina taarifa?[emoji23]
Nimegonga ukweliMmmmmh
Nimefurahi kukuona.Nipoo
Hahaaaa unanikumbusha mbaaaali mnoUngejua Juice ya Mabungo ....nahisi imechacha
nishakujibu kuna mdau naona aliingia kati ila akapotea twende tukapachangamsheHivi kule kijiweni kwetu umeshanijibu? Maana sijaona notification
Hahaaa nikajua nitapata tips ya maana kumbee
Nafurahi sana nikiwasiliana wa wataalam wa lugha yetu adhimu ya kiswahili kama weweHuko tunasema "Kumfunza mwana kwa vitendo"
Nimekuelewa vizuri mno,umetumia kitu kinaitwa "Pambo la lugha"
Za utokako umewahi leo angalauNipoo
Hahaaaa unanikumbusha mbaaaali mno
Ni uongo bwana usijerudia maneno hayoNimegonga ukweli