Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Bonge la pini ndo nini?[emoji848]Nasikia wewe ni bonge la pini halafu ni shabiki wa yanga. Nimeona mahala fulani. Ni kweli hizi habari ?
Ushabika wa Yanga ni kweli kabisa, sasa hivi ndo naingia home kutoka taifa