Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,831
viboko ni vya wayoto...mtu mzima ni shoti ya umemetumtafute mapema nimeandaa viboko
viboko ni vya wayoto...mtu mzima ni shoti ya umemetumtafute mapema nimeandaa viboko
Watu wanajikuta wana coment ndoto zao kutokana na usingizindoto za nani?
Kichwa Kichafu na hun wako
Lindo lako muhimu liko salama au umeamka kwenda maliwatoni? Walinzi wote hoi nimebakia mimi [emoji16][emoji16][emoji16]Mhhh jamani lindo linaendeleaje
Ha ha ha wengine fyuzi zimekataLindo lako muhimu liko salama au umeamka kwenda maliwatoni? Walinzi wote hoi nimebakia mimi [emoji16][emoji16][emoji16]
Hehehe mi nipo bhana lindo langu muhimu ndo nalipitia doria hapaLindo lako muhimu liko salama au umeamka kwenda maliwatoni? Walinzi wote hoi nimebakia mimi [emoji16][emoji16][emoji16]
Unaongea na mimi au simu?Mkuu kwan we kibonge nyanya [emoji16][emoji16]
Mama hulaliUnaongea na mimi au simu?
Tena sasa wanasayansi wanadhani kuwa kutopata usingizi wa kutosha ndiyo kisababishi kimojawapo kikuu cha kansa karibu zote. Yaani ukilala chini ya masaa manne kwa siku moja tu immune system yako inazorota kwa asilimia 70; na seli zinachanganyikiwa. Ugunduzi huu umeleta msisimko kuhusu kufumbua mojawapo ya siri kubwa ya vyanzo vya kansa mbalimbali.Binadamu anatakiwa kulala angalau kwa masaa 8
Hongera kwa kufanikiwa kumlaza[emoji23]hun wangu nimemlaza tayari, kichwa kichafu huyu ngoja kwanza
Una uhakika umebaki wewe tu?[emoji848]Lindo lako muhimu liko salama au umeamka kwenda maliwatoni? Walinzi wote hoi nimebakia mimi [emoji16][emoji16][emoji16]
Aisee; bado uko macho?Hongera kwa kufanikiwa kumlaza[emoji23]
Nilidhani niko peke yangu kumbe bado mpo. Ila wengine (mf. maliyamtu) ndo wanaamka [emoji16][emoji16][emoji16]Una uhakika umebaki wewe tu?[emoji848]
Sina wa kulala nae, naogopa[emoji25]Mama hulali
Mungu wangu! Yakweli haya? Basi tufunge huu uzi tusije tukafa kwa sarataniTena sasa wanasayansi wanadhani kuwa kutopata usingizi wa kutosha ndiyo kisababishi kimojawapo kikuu cha kansa karibu zote. Yaani ukilala chini ya masaa manne kwa siku moja tu immune system yako inazorota kwa asilimia 70; na seli zinachanganyikiwa. Ugunduzi huu umeleta msisimko kuhusu kufumbua mojawapo ya siri kubwa ya vyanzo vya kansa mbalimbali.
Kutopata usingizi wa kutosha pia kunafungamanishwa na unene usio na sababu na hivyo kupelekea matatizo mbalimbali kama kisukari na BP...
TULALE SI CHINI YA MASAA MANANE KWA SIKU. NI MUHIMU SANA...
Lack of Sleep Increases Your Risk of Some Cancers
Hahaha unaogopa kulala wuuiii nmecheka hawa viumbe wa Mungu humu ndani si wanakoroma wenyewe tuSina wa kulala nae, naogopa[emoji25]
Kila nikilala kuna ndoto inanikurupuaAisee; bado uko macho?