JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Huwa hawachambi mkuu, kwanza hawanyi, ile kitu inatumika kwa kazi zingine za tofauti
Nilikuwa sijui mkuu. Asante kunifungua macho. Wakora !!!
357d9ad1-2f45-4714-92c1-772efa44cc36.jpeg
 
Wazungu wakimwona huyo wanasema: "you are getting fat, plz do some cardio, yoga, jogging etc to get in shape, burn some fat girlfriend [emoji15][emoji15]"

Sisi waafrika tukimwona: "Mashaalaaah mtoto kaumbika hakya nani nauza nyumba ya urithi lazima nimng'oe huyu mtoto, kaumbika asaaalalaleeeh [emoji39][emoji39][emoji39]"
 
Back
Top Bottom