Rijali jandoni
JF-Expert Member
- Apr 5, 2018
- 2,174
- 2,264
muzikiii maridhawaaKucheza nini?
muzikiii maridhawaaKucheza nini?
Utawaambia ni wikiendi. Ratiba za kulala kuparaganyika ni kawaida tu. Hawatakushangaa.
Hujakosea. Huyu anatoka huko huko...hizi shape kama za kwa ramaphosaa maana sio poa ndugu zetu wa bondeni sijui mtonii
muzikiii maridhawaa
Mbona tuko naye humu LindoniMkuu vipi,mzee umemuacha peke yake anapambana na baridi ya mkesha?
Wakikuelemea nisukumie mimi hiyo kesi. Nitathibitisha alibi yako [emoji123][emoji123][emoji123]Na ushahidi huu hapa. ...nitawaonyesha.....
nawaona hata hukuu halii zao mkuu daaah yaani sura ethiopia ukitaka mizigo mpaka ushindwe kujitwisha bondeniiiHujakosea. Huyu anatoka huko huko...
View attachment 880846
ngoja nijee niuone unavyouchezaaMziki wangu sijui kama utauweza
Wakikuelemea nisukumie mimi hiyo kesi. Nitathibitisha alibi yako [emoji123][emoji123][emoji123]
ngoja nijee niuone unavyouchezaa
sawaaa sawaaa twendee kazii.!!Huna haja ya kuja. ....tuuchezee hapa Jukwaani
Safi,mpe pongezi zakeMbona tuko naye humu Lindoni
Ameshazipokea. ..subiria like yake tu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Safi,mpe pongezi zake
Mpaka kuna studies kabisa za Anthropology kuwahusu hao wanawake wa Kizulu na Kixhosa. Sarah Baartman alileta msisimko sana na watu wakataka kujua ni kwa nini wanawake wa huko wanakuwa na maumbile ya aina hiyo.nawaona hata hukuu halii zao mkuu daaah yaani sura ethiopia ukitaka mizgo mpaka ushindwe kujitwisha bondeniii
Ameshazipokea. ..subiria like yake tu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Usiwe na wasiwasi. Nimepanga ushahidi wa kutosha. Alibi yako haina mapengo. Mwenyewe atabloo...Hakimu umenunua Kesi. ...Jellybean akipita hapa nitapona
popo wa kimya kimya habari yakoAmeshazipokea. ..subiria like yake tu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]