Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,871
Utaniambia wewe. ..maana mimi huwa nafungaKwasiku wanaingia wangapi?
Utaniambia wewe. ..maana mimi huwa nafungaKwasiku wanaingia wangapi?
Ningendako kaandika BKUmeandika nini hapo sasa?
Nifungulie ili tujadili kuhusu hili tendaUtaniambia wewe. ..maana mimi huwa nafunga
Wahaya kwa misifa hawajamboooHahahah aisee hyo a.k.a mpya nmeipenda,,inasound poa sana
okayBro kwa mtaji huo utakuwa unaibiwa aisee. Maana naona unashangaa shangaa kila muda.
Hahahha kwa hyo hakuna kabila linalopenda sifa tofauti na watu wa BKWahaya kwa misifa hawajambooo
nifundishe MunchieHujui tabia za Nyuki eehh?
Oohhh basi sikukuelewa. ..maana sijawahi sikia hiyo a.k.aNingendako kaandika BK
Kirefu cha BK nijuavyo Mimi no BUKOBA
ila wahaya wao wanaitaa BRITISH KINGDOM (BK) badala ya bukoba
Fanya upite. ..funguo niliziacha juu ya kabatiNifungulie ili tujadili kuhusu hili tenda
Wanapenda maua yanayonukia vizuri, yenye rangi za kuvutia na yaliyochanuanifundishe Munchie
oohh! haya ngoja tumsubiri huyo nyuki [emoji37]Wanapenda maua yanayonukia vizuri, yenye rangi za kuvutia na yaliyochanua
Ngoja niwatag hawa wahaya wakuelezee..Oohhh basi sikukuelewa. ..maana sijawahi sikia hiyo a.k.a
Ngoja niwatag hawa wahaya wakuelezee..
Cc.
Witinessj
Britannica
Malcom Lumumba
Bukoba boy
Etc
mkuu hebu nitafsilie kidogo