OK! Topic closedKwan wewe unajua maana ya Gentleman, hivi unajua Baada ya kazi ya kutwa ya kujenga nchi na kuleta mabafiliko, mabingwa wanakutana pamoja na kujumuika na kunywa Safari Lager, tangu mwaka 1977 inafahamika hivyo, sasa wewe ni nani kusema huo sio uGENTLEMAN?? Umesikia wapi MAGENTLEMAN wanakutana kujipongeza na juice na milk, Hamna Gentleman ambaye hanywi hata Wine, Whisky, Beer, hajawah kutokea dunia hii. We are the Gentlemen, and we Drink Occasionally!
Yule wa mashineni sio ? Nimecheka sana.Nahisi nyuki
Nyuki anatua kwenye ua lenye nta. .....siwezi mzuiasawa, asikusogelee sasa huyo nyuki
Ayyyyaaaaaaaaa !sawa, asikusogelee sasa huyo nyuki
Aah kumbe nyumban Kili..vizuri aiseeHapana Kili
sijui, nilirudi nikakuta imekuwa updated na hiiNani aliitoa?
Sijasema ndio nyumbani jamaniAah kumbe nyumban Kili..vizuri aisee
kumbe!!!Nyuki anatua kwenye ua lenye nta. .....siwezi mzuia
Bro kwa mtaji huo utakuwa unaibiwa aisee. Maana naona unashangaa shangaa kila muda.kumbe!!!
Hahaha samahani aisee,,nilivyoona kwetu mikahawani nkajua ndio nyumbaniSijasema ndio nyumbani jamani
Umeandika nini hapo sasa?Ndo kule mwapaita British Kingdom??
Instead if bukoo
Splendid, and closed it shall!OK! Topic closed
Kila MTU abaki anashikilia kile anachoona in sahihi kwake
Hujui tabia za Nyuki eehh?kumbe!!!
Kwasiku wanaingia wangapi?Nenda. ...
Hakikisha unawachuja vizuri
Sisi tunaendelea na majukumu,sasa subiri jumba bovu likuangukie ndipo utakapo nyoosha maelezo.nipo nashangaa shangaa tu
Bila SamahaniHahaha samahani aisee,,nilivyoona kwetu mikahawani nkajua ndio nyumbani
Hahahah aisee hyo a.k.a mpya nmeipenda,,inasound poa sanaNdo kule mwapaita British Kingdom??
Instead if bukoo