Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,796
- 48,044
Vipi mkuu mbona unaguna ?Daaah!
Vipi mkuu mbona unaguna ?Daaah!
Nibusara kuliko kukimbizana na fisi kwa kitoweo ulichomaliza minofu hahahaaItabidi niingie msituni tu kama simba,
Naziona harakati zako...!Vipi mkuu mbona unaguna ?
suspense ain't my thing. Nahitaji kalamu, karatasi na kamusi ya tuki tu. Tell me hivyo ndo unavyokuja navyo.Tukishapatana utaziona
Aisee mkuu ,tililika kidogo kama hutojali nini kilikukutaHapana mimi sio kasisi. Niliamua hivyo baada ya kupitia masahibu fulani hivi.
Tukishapatana = Tukishaonana ?Tukishapatana utaziona
Kwanini ?Lindo limenishinda
[emoji4]bora iwe hivoHahahahaha,siwezi kumuharibu bro mimi muungwana sana.
Haha haha. ....suspense ain't my thing. Nahitaji kalamu, karatasi na kamusi ya tuki tu. Tell me hivyo ndo unavyokuja navyo.
Nasinzia kama ponoKwanini ?
Ha ha ha !! Ni stori tu muda uendeNaziona harakati zako...!
Poa lakini !?Ha ha ha !! Ni stori tu muda uende
Jipige kabali usingizi unapotea.Nasinzia kama pono
[emoji23]Nibusara kuliko kukimbizana na fisi kwa kitoweo ulichomaliza minofu hahahaa
Kabali tena jamani!!!!Jipige kabali usingizi unapotea.
Haswaaa,tena wakati huu ndio muafaka kabisa.Kabali tena jamani!!!!