JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Sifa ya simba ni kuwinda na kukamata ikitokea fisi wakampokonya alichokamata hapigani na fisi anaonyesha uhodari wake kwa kwenda kuwinda na kukamata kitoweo kingine hivyo mwanaume tumpe mfano wa simba mwanamke akichukuliwa nafuta mwingine chukua mambo yaishe labda kama umetafutiwa itakubidi uwe mkali maana hujui pa kupatia mwingine
Mkuu hapo nimekuelewa for sure, ni mfano mzuri sana
 
Kama umeelewa ni vema kwasababu unafikiri vipi ikiwa unapigana halafu ikawa bahati mbaya ukaumizwa kwasababu ya umpendae halafu bado akakuacha??,,, unafikiri simba hanauwezo wa kumuadhibu fisi mpaka amuachie kitoweo na kuondoka? Simba angeweza kabisa kupambania Mali yake aliyoitolea jasho lakini anawaza vipi ikatokea kuumia wakati nampiga fisi kesho nitashindwa kuwinda hivyo dawa ni kuacha na kuingia msituni kutafuta kingine
 
Itabidi niingie msituni tu kama simba,
 
Back
Top Bottom