skfull
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 2,944
- 2,390
Iko pouwa sana, niaje weyeNiaje mkuu
Iko pouwa sana, niaje weyeNiaje mkuu
Bro ukiona nimezima taa ujue mkono wangu uko juu ya mkono wake,nazijua adha za giza. Niko makini.Zima taa ukiwasha ukute hayupo umewekewa redio na falash yenye sauti yake hapo hahahaa
Imenyooka kabisaIko pouwa sana, niaje weye
Hahahaaa nimeandaa toy kwa ajili yako DOGO mpango ushakamilikaBro ukiona nimezima taa ujue mkono wangu uko juu ya mkono wake,nazijua adha za giza. Niko makini.
Na mimi sizimi taa ili tulale...! Nazima taa ili..............!Siwezi lala giza
Una kumbu kumbu nzuri?Imenyooka kabisa
Sijakuelewa bro !Hahahaaa nimeandaa toy kwa ajili yako DOGO mpango ushakamilika
Hapana. ...niko na ubongo wa goldfishUna kumbu kumbu nzuri?
Mpango gani huo umekamilika ? Nakukumbusha tu mimi sio DOGO bro !Hahahaaa nimeandaa toy kwa ajili yako DOGO mpango ushakamilika
Hhahaha unataka kusema huwezi kumbuka chochoteHapana. ...niko na ubongo wa goldfish
Daah,unazidi kunichanganya.Huwezi elewa taa ikiwa on switch of your light then you will understand,, hahaaaa
Kwani natakiwa kukumbuka nini?Hhahaha unataka kusema huwezi kumbuka chochote
Hahahaa unakataa udogo OK any way sio mbaya ila usipende kula chakula gizani, huwa chakula kizuri hakiliwagi gizani mzeeMpango gani huo umekamilika ? Nakukumbusha tu mimi sio DOGO bro !
Hichi cha hapa gizani ndio maana pake,hapa macho kazi huwa ni baada ya tukio.Hahahaa unakataa udogo OK any way sio mbaya ila usipende kula chakula gizani, huwa chakula kizuri hakiliwagi gizani mzee
Kila kitu kinachokupa historiaKwani natakiwa kukumbuka nini?
Ibada ya gizani inamuhusu ibilisi shetani ibada ya nuruni ni mwenyezi mungu pekeeHichi cha hapa gizani ndio maana pake,hapa macho kazi huwa ni baada ya tukio.
Niko na ka goldfish brain...Kila kitu kinachokupa historia
Huu sio ukweli kabisa...!Ibada ya gizani inamuhusu ibilisi shetani ibada ya nuruni ni mwenyezi mungu pekee
Hahahaa unatisha kwa tarehe ya Jana huikumbuki eeh?Niko na ka goldfish brain...
Nakumbuka vya Leo tu