JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mkuu sidhani ka kuna kujizuia. Imagie uko unaoga afu unakumbuka aliyoyatenda,upo unakula bado unakumbuka tu
Sifa ya simba ni kuwinda na kukamata ikitokea fisi wakampokonya alichokamata hapigani na fisi anaonyesha uhodari wake kwa kwenda kuwinda na kukamata kitoweo kingine hivyo mwanaume tumpe mfano wa simba mwanamke akichukuliwa nafuta mwingine chukua mambo yaishe labda kama umetafutiwa itakubidi uwe mkali maana hujui pa kupatia mwingine
 
Back
Top Bottom