Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,871
Asubuhi njema05:59, Naliacha lindo likiwa salama bin salmin,,,,
Wakuu tutaonana JF Usiku wa maneno mwengine,,,,
Asubuhi njema05:59, Naliacha lindo likiwa salama bin salmin,,,,
Wakuu tutaonana JF Usiku wa maneno mwengine,,,,
Huruhusiwi. ....Kwa hiyo mtu unaruhusiwa kuchepuka km mapenzi yanaanza kutetereka,
Mi nazijua kesi flan flan wake wa ndoa wanachepuka
Wewe hutakiwi kulinda kimya kimya,mpaka wa mfano wako akija ndi mpeane kijiti.Namimi naanza kulinda Kimya kimya
Vzr sana,km umenipataOohhh nimekupata
Umeongea kweli tupuwanatu-stunt growth ya kiakili, we need new people wa kuchangamana nao. Ina stimulate the brain
Sasa kwanini wasikae tu wakaongea, maana km mashamsham yameisha basi wakapige hata tour sehem kuamsha hisiaHuruhusiwi. ....
Ila ukiona imetokea ujue kuna tatizo mahali.
Toka kule. .....umechepuka....Kwa sisi demu akijileta ukakamua inaitwa kwa kitaalamu "orgasm donor" km organ donor ila unadonate orgasm kwa muda ili kumsaidia mdada, inaruhusiwa nadhan kisheria [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji4]kwa sababu umefunga PM ukifungua nitakua sikupitiLakini nakuonaga kitaa mchana. ...na unanipitaga kama hatujuani. ..sio poa
Hakuna wakufanana na mi. ...Wewe hutakiwi kulinda kimya kimya,mpaka wa mfano wako akija ndi mpeane kijiti.
Hizo ziache zitajijaza zenyeweFanya ujazie hizo dash
Ni msaada tu mkuu, 🤣🤣Toka kule. .....umechepuka....
HahahaNamimi naanza kulinda Kimya kimya
Una maanisha nini ?Hakuna wakufanana na mi. ...
Kama yameisha waachane tu...wakaanze pengine upya...Sasa kwanini wasikae tu wakaongea, maana km mashamsham yameisha basi wakapige hata tour sehem kuamsha hisia
Hivi pm wakifunga huwa wanafungua saa ngapi[emoji4]kwa sababu umefunga PM ukifungua nitakua sikupiti
Hakuna wakufanana na mi. ...
[emoji4]kwa sababu umefunga PM ukifungua nitakua sikupiti
Mkumbuke lkn mko lindoniWewe hutakiwi kulinda kimya kimya,mpaka wa mfano wako akija ndi mpeane kijiti.
My copycatUna maanisha nini ?
Yah then why not sit and talk, maana nyie women likes to talk, km ulimpendea mwenzio kwa pesa afu ikaisha labda ila km ni swala la kiutendaji si mnazungumza tu kuliko kukipeleka njeKama yameisha waachane tu...wakaanze pengine upya...
Maana mpaka yaishe kuna sehemu mnakosea....
Kazi na dawa bro,usihofu tunalinda windo kwa mfano wake.Mkumbuke lkn mko lindoni
Sababu gani hii sasa?[emoji4]kwa sababu umefunga PM ukifungua nitakua sikupiti