JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Nilikutakia kheri katika kumshukuru Allah,,
in sha Allah ni sawa na kusema Mungu akipenda, Allah akijaalia ulipaswa kusema labda mashallah au kuendelea na habar zingine au kusema hivi umesema hapa, umeelewa eh?
 
in sha Allah ni sawa na kusema Mungu akipenda, Allah akijaalia ulipaswa kusema labda mashallah au kuendelea na habar zingine au kusema hivi umesema hapa, umeelewa eh?
Sawa nimeelewa vema lete khabar
 
Mada ya ucku huu;; kwann wapenzi walioko katika mahusiano huchepuka?
 
Back
Top Bottom