Ungeona nacho fanya ungefurahi sana.Hahahahah
We nawe mbona hulali?
Unafanya nini hapo sebleni?
Ungeona nacho fanya ungefurahi sana.Hahahahah
We nawe mbona hulali?
Unafanya nini hapo sebleni?
Unaona hapa tunapiga story mtu bee tu. Sasa mazungumzo yetu yakichanganya utaona wadau wanakuja kutibua mipango.Hahahahah
We nawe mbona hulali?
Unafanya nini hapo sebleni?
Puchu au?Ungeona nacho fanya ungefurahi sana.
Puchu au?Ungeona nacho fanya ungefurahi sana.
Puchu sio kazi ya mikono yangu. Haifai kabisa. Bado nina deni kubwa kwa watu kama nyie.Puchu au?
Sema unakolinda wewNinakoelekea ni karibu na mnakolinda
Kama nani na nani wanajuana ?Story za hili jukwaa sijawahi kuzielewa! Hua naona ni kama jukwaa la baadhi ya member tu ambao wanajuana na hua na story zao tu zinazowahusu wao tu!
Namaanisha,hili jukwaa ukiingia unakua unakuta kigroup fulani chenye story zao tu,namaanisha kujuana kuzoweana hapa,mtu mgeni kuja na kuanza story humu ni ngumu sana!Kama nani na nani wanajuana ?
Wenzio wamesha lala!! Njoo upige story na mimi.kwema humu??
nimepita kuwasalimu tu
Wenzio wamesha lala!! Njoo upige story na mimi.
Nisubiri.kwema humu??
nimepita kuwasalimu tu
Hey,unaenda wapi usiku wote huu ?kwema humu??
nimepita kuwasalimu tu
Nisubiri sasa !kulala
Au hutaki twende wote ?kulala