fizo talent
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 2,256
- 3,890
me2:30 who else in ?
me2:30 who else in ?
Whats up
cool and uWhats up
Hili jukwaa toka siku tatu zilizopita halina watejalindo la weekend ila km.j.3
walinzi wanapiga usingizi tuHili jukwaa toka siku tatu zilizopita halina wateja
duu wapi hiyoNipo sehemu! Tumepigwa stop na askari wa usalama barabarani. Tulikuwa tunasafiri na basi. Loh. Inaboa kweli. Tumeambiwa tutaendelea na safari saa 10.30 alfajiri
Sehemu moja hivi inaitwa Laela. Barabara kuu ya Mbeya-Sumbawanga.duu wapi hiyo
Tupowalinzi wanapiga usingizi tu
Police hyo.wape na buku 5 hvi watamaliza mchezo woteKuna jirani yangu anachoma dawa za kiganga zimamuka balaa yaani hakuna kulala, hivi nitamshtaki wapi huyu fala?
Bado !Kwani muda wa kufungua geti bado nina mzuka wa kukesha