Kulalauende wapi?
Kulalauende wapi?
Kuwa muungwana,sio vizuri.ndio sitaki
Nakufata.baki lindoni
Poa,utakuwa umeamua mimi nidhalirike.nakuitia mwizi
Au kama unataka nife poa,ila nakomaa mpaka niingie ndani na wewe.nakuitia mwizi
Mambo bebnakuitia mwizi
Mtoto anasauti laini ya kutoa nyoka pangoni.Kuna mtoto hapa ananikosha na tabasam lake.. Au ni pombe hizi!!?
Ok,namimi nalala
welcomeAm here to stay!
[emoji137][emoji137][emoji137]Namaanisha,hili jukwaa ukiingia unakua unakuta kigroup fulani chenye story zao tu,namaanisha kujuana kuzoweana hapa,mtu mgeni kuja na kuanza story humu ni ngumu sana!