Nimekufata wewe huku.tunaelekea ukingoni.
Huyu hakeshi kuchat,ana kesha kupanda mbeguView attachment 866503
Eddy born 1961 ana watoto kumi na huyu wa kumi na moja...Wiki ijayo tutakuwa nao,,,
Lindo lipo salaam?
Toka Taifa lipate Uhuru yeye yupo...Huyu hakeshi kuchat,ana kesha kupanda mbegu
Angalia tu njia unayopita shauri yakoUkeshaji mwema mimi mpita njia tu
Mh mjumbe utasababisha wajumbe wasiripoti lindoniMie ndo nautafuta usingizi hapa
View attachment 866543
Ninakoelekea ni karibu na mnakolindaAngalia tu njia unayopita shauri yako
Kama ni kweli inasikitisha sana hii ni hatari sheria kali ianzishwe na ianze kufanya kazi haraka iwezekanavyoNimepokea taarifa,baadhi ya walinzi wanajisapia na vimada vyao wakati wa lindo, na kusababisha kuacha lindo wazi
Uongozi unasikititika sana kwa hali Iliyojitokeza hivi karibuni kwa baadhi ya watu kutozingatia maadili ya kazi yetu
Naona kule mtu aliamua kukubipu ukampigiaMie ndo nautafuta usingizi hapa
View attachment 866543
Mkuu hii ni kweli kabisa, na uongozi kupitia idara zake inalifanyia kazi,ili kukomesha haliKama ni kweli inasikitisha sana hii ni hatari sheria kali ianzishwe na ianze kufanya kazi haraka iwezekanavyo
Jamani mie navuta shuka tu wakuuMh mjumbe utasababisha wajumbe wasiripoti lindoni
Kuna watu wanakera sana.Naona kule mtu aliamua kukubipu ukampigia
Utatuhumiwa kwa kusababisha usumbufu kwa walinziJamani mie navuta shuka tu wakuu
Hii picha hii !?Mie ndo nautafuta usingizi hapa
View attachment 866543