Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,831
yupo njiani buyenzeHivi yule mzee wa mapichapicha yuko wapi? Kila siku napisha nae humu
yupo njiani buyenzeHivi yule mzee wa mapichapicha yuko wapi? Kila siku napisha nae humu
Huyu najua wakwako. Siwezi kumsalandia.
Ama kweli wewe ni mlinzi mwandamizi usiyekiuka maadili ya kazi yakoMlinzi jukumu langu ni kulinda Uzi,sio kushawishi MTU,nafuata maadili,miiko na taratibu za kazi.
Umeachiwa uselebuke nae
Huyu najua wakwako. Siwezi kumsalandia.
NaaamAma kweli wewe ni mlinzi mwandamizi usiyekiuka maadili ya kazi yako
Kwa kile niacho kiona humu sasa hivi. Namaanisha mtiririko wa mazungumzo kati yenu.Una Uthibitisho gani?
atakua lady j deeUnaibiwa.... Unaibiwa!
Hivi nani kaimba wimbo wenye hiki kibwagizo
RaiaKaachiwa na nani vile?
Kwa kile niacho kiona humu sasa hivi. Namaanisha mtiririko wa mazungumzo kati yenu.
[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] na wewe zama PMNaona sasa mnaelekea kulala ,au ndio mko inbox?
nilikua shamba japo niliumwa na mbu nyingi sana lkn nimepona nilitafuna mizizi kwahiyo msijaliHutahujumu lindo, hatuna uhakika na huko ulikokuwa, mpaka tujiridhishe.
Raia
Unafurahi mwenyeweee. Yaani humu lazima kuna mtu nitamtoa tu humu jf.teh teh teh
[emoji23] [emoji23] [emoji23]mnaenda kulala wapi nyie?
nitakuja kuiliza filimbi uko hadi mshangae
We tulia,sie walinzi tuna mengi Sana ujue ,sasa km umeona kitu kaushaKwa kile niacho kiona humu sasa hivi. Namaanisha mtiririko wa mazungumzo kati yenu.
tunaenda lindo na nini sasa!!Sisi hatuna pingamizi, ila vifaa vyote mviache hapa.
Asantepole