JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Bado sijapata majibu. Naendelea kuwasikiliza wadau,kwa vigezo vyangu yule anaye kubalika sana nitaondoka nae na nitamtoa jf tuishi maisha yetu huko kitaa.

Huwa napenda kuchukua vile bora zaidi halafu itakuwa siri yetu.

Kila la Kheri.....ila nahisi bado hajajiunga na JF wa kuondoka naye, utasubiri sana
 
Bado sijapata majibu. Naendelea kuwasikiliza wadau,kwa vigezo vyangu yule anaye kubalika sana nitaondoka nae na nitamtoa jf tuishi maisha yetu huko kitaa.

Huwa napenda kuchukua vile bora zaidi halafu itakuwa siri yetu.
safi sana chief,
lkn huyu bbade hakuna hata wanaompenda humu....mimi peke yangu tu.

hakufai wewe,
 
Back
Top Bottom