JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mwanamke anayependwa JF
Bado sijapata majibu. Naendelea kuwasikiliza wadau,kwa vigezo vyangu yule anaye kubalika sana nitaondoka nae na nitamtoa jf tuishi maisha yetu huko kitaa.

Huwa napenda kuchukua vile bora zaidi halafu itakuwa siri yetu.
 
Back
Top Bottom