Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
tangu lini?
Toka ulivyopotea humu, ilibidi tumhamishe kitengo maana alikuwa hawezi kukaa huku peke yake.
tangu lini?
kumbe!!!Unakuja au ndio mpaka Lindo liishe?
nipo na manati hapaItakuwa inaletwa na njiwa.
Naomba unisaidie kumshawishi abaki nasiMbn mapema
Uzi gani tena huo ? Nikumbushe tafadhali.Ushapata Majibu kwenye ule Uzi? au Bado?
kwanini?Acha hizo usije ukanichonganisha na Don
Kwahiyo unataka walinzi tubughudhiwe?[emoji848]
Usimtishe mwenzioole wako
asante sana, hawezi kulala huyuNipo hapa kwa ajili hiyo na mengine mfano wa hayo. Hakiharibiki kitu mida hii mpaka kieleweke bro !
Mrudishe mtoto huyo asiende kulala !
Hilo la niachie mimiNa lindo litazidi kuwa tamu,, schedule tuu ipangwe vzr
Kumbe na wewe umeiona janja yake ya kukimbia adhabu eeeh?Kulala sio adhabu,kulala starehe. Wewe subiri upewe adhabu,myamalize.
Mlinzi jukumu langu ni kulinda Uzi,sio kushawishi MTU,nafuata maadili,miiko na taratibu za kazi.Naomba unisaidie kumshawishi abaki nasi
Shaka hakuna...Hilo la niachie mimi
kitengo gani hicho ambacho mimi sikijuiToka ulivyopotea humu, ilibidi tumhamishe kitengo maana alikuwa hawezi kukaa huku peke yake.
Nimeiona !Kumbe na wewe umeiona janja yake ya kukimbia adhabu eeeh?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ndio maana kumbe mchele wa siku hizi haunukii![emoji848][emoji848]na viboko [emoji4]
Sawa ,mm nafanya na kutimiza majukumu yangu ya ulinzi