Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,831
kumbe!!Ndo baby
kumbe!!Ndo baby
Nimekausha kaka mkubwa,sema nilitaka tu nimuoneshe kwamba na mimi nina macho yaani ninaona kinachoendelea humu.We tulia,sie walinzi tuna mengi Sana ujue ,sasa km umeona kitu kausha
Hahaha,wewe mmoja wapo?
tuondoke wote basiSiko tayari kukupoteza hapa kijiweni
Unafurahi mwenyeweee. Yaani humu lazima kuna mtu nitamtoa tu humu jf.
Akija msalimie mie naondoka zanguyupo njiani buyenze
hahaha umeanza lini tabia ya kukatisha watu tamaa hun?Kila la Kheri.....ila nahisi bado hajajiunga na JF wa kuondoka naye, utasubiri sana
Hahaha, we jamaa unafaa kuwa mlinzi mwandamiziNimekausha kaka mkubwa,sema nilitaka tu nimuoneshe kwamba na mimi nina macho yaani ninaona kinachoendelea humu.
usije kuthubutu chiefDaah ! Ila sijawahi kukata tamaa mimi.
tunaenda lindo na nini sasa!!
Mmmh! Umekoseaatakua lady j dee
Bils shaka,yaani ninalinda maslahi yangu huku nikichunga maslahi ya wengine.Hahaha, we jamaa unafaa kuwa mlinzi mwandamizi
nimeachiwa na nani?Umeachiwa uselebuke nae
asante, kumsalandia ndio kumfanyaje kwanza?Huyu najua wakwako. Siwezi kumsalandia.
Sasa cheza na codes tu ,halafu waache wenyeweBils shaka,yaani ninalinda maslahi yangu huku nikichunga maslahi ya wengine.
Lazima nipewe shani ya ushindi.
hahaha umeanza lini tabia ya kukatisha watu tamaa hun?
alipita TBSUna Uthibitisho gani?
Kumfatafata nyuma yaani kumtakataka.asante, kumsalandia ndio kumfanyaje kwanza?
Sasa cheza na codes tu ,halafu waache wenyewe