Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Kuna STRANGER anataka kunipa adhabu
Kapumzike, ili kesho uwe fresh.
Kuna STRANGER anataka kunipa adhabu
njia gani imepitia niiwai mimiNishaituma iko njiani inakuja [emoji6]
Mie huko siko,kazi yangu ni kuimalisha na kudumisha ulinzi wa UziKuna STRANGER anataka kunipa adhabu
Yaani unataka nipate moja na kutoa moja sio? Ombi lako haliwezekaniaaaha! na mimi naomba uniroge nisirudi tena hapa tafadhali
Kapumzike, ili kesho uwe fresh.
njia gani imepitia niiwai mimi
mhBaadae
Mie huko siko,kazi yangu ni kuimalisha na kudumisha ulinzi wa Uzi
Acha hizo usije ukanichonganisha na Donnjia gani imepitia niiwai mimi
asante umemueleweshaKulala sio adhabu,kulala starehe. Wewe subiri upewe adhabu,myamalize.
Sawa ,mm nafanya na kutimiza majukumu yangu ya ulinzibbade nimemhamishia kitengo maalum, mwache apumzike.
Unakuja au ndio mpaka Lindo liishe?
bae ndio nini?Unajua kama huyo ni bae wa mtu lakini? Au dini zenu zinatuhusu zaidi ya mmoja?[emoji23]
Kulala sio adhabu,kulala starehe. Wewe subiri upewe adhabu,myamalize.
Kwahiyo unataka walinzi tubughudhiwe?[emoji848]Sheria zinazozuia walinzi kubugudhiwa, physically na psychologically.
ndio, kwanini haliwezekani?Yaani unataka nipate moja na kutoa moja sio? Ombi lako haliwezekani
Nipo hapa kwa ajili hiyo na mengine mfano wa hayo. Hakiharibiki kitu mida hii mpaka kieleweke bro !asante umemuelewesha
Hahaha, huyo ni Hun wako siingiliiUsiku wa Leo unani angusha...nikajua mtetezi wangu yupo