Nataka nimroge Nleterewa Nganengo arudi hapa kijiwenisijui mimi lkn kuroga vyovyote vile ni kumfanyia mabaya huyo mrogwaji sio!
haya niambie ni nani huyo unataka kumroga..
Wow! Nafsi yangu itaponaWiki ijayo..
Nakutumia PM
nipo mbona, labda wewe peke yako ndio hujaniona na nitakupa adhabu kwa hiloHun wewe ndio hujaonekana humu, umekuwa kama STRANGER
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kuubonda bonda na nini?asante, yes nilikua shambani kuvuna mpunga tumetoka kuubonda bonda na viboko ili kuukoboa, karibu kwetu!
nipo mbona, labda wewe peke yako ndio hujaniona na nitakupa adhabu kwa hilo
Nishaituma iko njiani inakuja [emoji6]Naisubiri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kama sheria gani?
Mbn mapemaAcha nijipe adhabu mwenyewe...naenda kulala
aaaha! na mimi naomba uniroge nisirudi tena hapa tafadhaliNataka nimroge Nleterewa Nganengo arudi hapa kijiweni
Unajua kama huyo ni bae wa mtu lakini? Au dini zenu zinatuhusu zaidi ya mmoja?[emoji23]Hun wewe ndio hujaonekana humu, umekuwa kama STRANGER
ole wakoAcha nijipe adhabu mwenyewe...naenda kulala
Na lindo litazidi kuwa tamu,, schedule tuu ipangwe vzrWow! Nafsi yangu itapona
Kulala sio adhabu,kulala starehe. Wewe subiri upewe adhabu,myamalize.Acha nijipe adhabu mwenyewe...naenda kulala
na viboko [emoji4][emoji23] [emoji23] [emoji23] kuubonda bonda na nini?
Mbn mapema
ole wako