maliyamtu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2017
- 2,137
- 3,879
Em rudi hapa kwanza tuelewwaneNdio bro ! Ngoja nimfate huko huko aliko !
Em rudi hapa kwanza tuelewwaneNdio bro ! Ngoja nimfate huko huko aliko !
Yaani ndo nashangaa asee wako mafichoni wapiHahaha, mnabutua mpaka mnachoka hawaji...
Ungejichanganya ndio ungeona inakulaje kwako. Maadamu umeponea chupu chupu shukuru tu bibie.Inaanzaje kula kwangu sasa mkuu
Naona huko kumewanogeaHatarii hawaji huku
Afu mtoto rangi ya mtume huyoNdio bro ! Ngoja nimfate huko huko aliko !
Bado kwa sana...Watu wamelala..
Yapi hayo tuyaone kwanzaUngejichanganya ndio ungeona inakulaje kwako. Maadamu umeponea chupu chupu shukuru tu bibie.
Tuendelee na mengine....!
Ngoja nifanye hivyo... Atakuja kuwapa mrejesho huku !Afu mtoto rangi ya mtume huyo
Mkuu kimbia haraka utuwakilishe vizuri wanaume wa JF
Wanapitaga kimya kimya haoOhooo,humu kumbe hatuko wenyewe aisee,naona watu wana like. Balaa hili.
[emoji4]tunasubiri mkuuNgoja nifanye hivyo... Atakuja kuwapa mrejesho huku !
Umekaa kwa wapi mkuuNawaona
Sina a man I mchumba hayupoNaona huko kumewanogea
Hahahahahaha,usiogope bibie...Nimepata habari kwamba wewe ni dongo,yaani rangi ya mtume shombe shombe ?Yapi hayo tuyaone kwanza
Kama kawaaaBado kwa sana...
Umekaa kwa wapi mkuu
Nilihisi tu kwamba hapa si salama sana. Ila poaUmekaa kwa wapi mkuu
Hahahah wewe umenza lini hizi mamboAfu mtoto rangi ya mtume huyo
Mkuu kimbia haraka utuwakilishe vizuri wanaume wa JF
Umesema indirectWalaaa sijasema hayo mimi usinichonganishe eee
Angalia ukiona tunashusha nguo tupunguze insulin uzime hyo sawa eeNiko chimbo, natumia binocular kulinda.