Polee,basi ukikunja virago vyako,niage nikusindikize..!Usungizi umenikamata
Polee,basi ukikunja virago vyako,niage nikusindikize..!Usungizi umenikamata
Heheheheh tumefanyaje teenaaHawa jamaa hawana maana kabisa.
Tutaondokaje ote lindo watalivamiaPolee,basi ukikunja virago vyako,niage nikusindikize..!
Mnatuhangaisha sanaa basi tu,ila tumeumbwa na uvumilivu sana aisee... Acha tuwe tunachukua mara mbili yenu katika mirathi...!Heheheheh tumefanyaje teenaa
Mhhh mapenzi ni magumu bhana tunajionea tabu tuKwenye love
Hapo mkuu naona unamzungusha tu
Shosti ako nae akija ataniita majina ya ajabu ajabu
Watajua wenyewe,tutarudi kuwaomba msamaha wakubwa zetu...!Tutaondokaje ote lindo watalivamia
Mhhh kwani sie wanawake ndo aio wavumilivu eeMnatuhangaisha sanaa basi tu,ila tumeumbwa na uvumilivu sana aisee... Acha tuwe tunachukua mara mbili yenu katika mirathi...!
Hahahaha [emoji23] [emoji23] wewe ni kichaaWatajua wenyewe,tutarudi kuwaomba msamaha wakubwa zetu...!
Kwanini tena ?Hahahaha [emoji23] [emoji23] wewe ni kichaa
Nakufata mimi !Jamani ee mlale salama
Unafanya kitu makusudi unasema utaomba msamaha ee[emoji23]Kwanini tena ?
Ndio kwani hujui hata kosa la makusudi lina msamaha ?Unafanya kitu makusudi unasema utaomba msamaha ee[emoji23]
Unafanya kitu makusudi unasema utaomba msamaha ee[emoji23]
[emoji4]hadi kwenu kumbe ?Mhhh mapenzi ni magumu bhana tunajionea tabu tu