Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,796
- 48,051
Labda.lakini mi sijaamini.mama lishe una smart phoneSio mama lishe ote tunauza usiku mkuu usisahau
Unaitumiaje na ile michuzi mara ukafute meza kwa mikono
Labda.lakini mi sijaamini.mama lishe una smart phoneSio mama lishe ote tunauza usiku mkuu usisahau
Vinywaji vinavyopikwaMnauza nini?
Mtihani
Okey. Usiku kuna mengiVinywaji vinavyopikwa
Sitaki zawadi yako. Ndio maana nimekaa kimyaSasa mkuu zawadi yangu unataka ya nini...
Sitaki zawadi yako. Ndio maana nimekaa kimya
Kila la kheri. Nasubiri mrejesho hapaHahaha, ngoja nipitie notice zangu nibebe zawadi ya ushindi.
Hivi nikitaka kumtag mtu nafanya ? Kuna mtu nataka awe kama mfuko wa shati. Yaani kila nikiweka mkono pahala na yeye awemo !yna2 umelala
Bibie jina lako limenipa raha sana,leo ndio nimemakinika nalo huwa silipatilizi.Vinywaji vinavyopikwa
Leo nataka nikunje mkeka kwenye jukwaa hili !Leo nataka nikunje mke kwanye jukwaa hili !
Mhhh jina tu mkuu wala usiogopeeBibie jina lako limenipa raha sana,leo ndio nimemakinika nalo huwa silipatilizi.
Ndio kusema unatutahadharisha au ?
Hivi tumebaki mimi na wewe tu ?Vinywaji vinavyopikwa
Linakupa raha gani mkuuBibie jina lako limenipa raha sana,leo ndio nimemakinika nalo huwa silipatilizi.
Ndio kusema unatutahadharisha au ?
Hahahaha inawezekanaHivi tumebaki mimi na wewe tu ?
Mali za watu zinaogofya !Mhhh jina tu mkuu wala usiogopee
Hatari hii... ! Ila bora iwe salama.Hahahaha inawezekana
[emoji23] [emoji23]Mali za watu zinaogofya !
Unafuraaaaahiii mwenyewee ![emoji23] [emoji23]