fizo talent
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 2,256
- 3,890
Yap yap 01:17Kama kawaaa
Yap yap 01:17Kama kawaaa
Hahahaha mwache ajichanganyeUmesema indirect
Nakumbuka nilivokua form 2 mwalimu wangu wa ISLAMIC KNOWLODGE alinifundisha aina za mipasuo ya sketi za wadada .ile mirefu kabisa maana yake ni (kwani ina maana huoni ?)[emoji23]
Kabisaaaa !Angalia ukiona tunashusha nguo tupunguze insulin uzime hyo sawa ee
[emoji4] muhurumie mkuu wetu kakuelewaHahahaha mwache ajichanganye
Umakini unahitajika apoKabisaaaa !
Hatari sana...Ila si tunaruhusiwa kuhama Arena au humu humu ?Umakini unahitajika apo
[emoji2]leo tu kwa kuwa Thad hayupo, kesho akiwepo ntakua mpoleeeHahahah wewe umenza lini hizi mambo
Mhhh em anipishe kidogo nna kazi nafanya[emoji4] muhurumie mkuu wetu kakuelewa
[emoji23] aiseeMhhh em anipishe kidogo nna kazi nafanya
Humuhumu tuhamie wapi sasa weeHatari sana...Ila si tunaruhusiwa kuhama Arena au humu humu ?
Cheka tu muone vile[emoji23] aisee
Hahahahahaha... Nitakwambia pa kuhamia nikiwa nakunja virago....!Humuhumu tuhamie wapi sasa wee
Mi naona kama ndo naanua marago hapa sahizi manake umwnikamataHahahahahaha... Nitakwambia pa kuhamia nikiwa nakunja virago....!
Hua mnatutesa sanaa, Tunapataga tabu mpaka tunaishi ka mashetani[emoji23]Cheka tu muone vile
Sijakuelewa... !Mi naona kama ndo naanua marago hapa sahizi manake umwnikamata
Wapi huko tunakowatesaga jamani eeeHua mnatutesa sanaa, Tunapataga tabu mpaka tunaishi ka mashetani[emoji23]
Usungizi umenikamataSijakuelewa... !
Hawa jamaa hawana maana kabisa.Hua mnatutesa sanaa, Tunapataga tabu mpaka tunaishi ka mashetani[emoji23]
Kwenye loveWapi huko tunakowatesaga jamani eee