maliyamtu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2017
- 2,137
- 3,879
Nilisoma nikaona nipite hivi manake sikuelewaLeo nataka nikunje mkeka kwenye jukwaa hili !
Daah,nilichokiandika awali sikukikusudia. Daah,ningeeleweka vibaya sana.
Nilisoma nikaona nipite hivi manake sikuelewaLeo nataka nikunje mkeka kwenye jukwaa hili !
Daah,nilichokiandika awali sikukikusudia. Daah,ningeeleweka vibaya sana.
Salama kabisaaHatari hii... ! Ila bora iwe salama.
Alaa ! Bora ambavyo hukuelewa kabisa kuliko kama ungeelewa vibaya.Nilisoma nikaona nipite hivi manake sikuelewa
Stress za dunia zinachosha mkuu wacha nifurahi tuuUnafuraaaaahiii mwenyewee !
Usiniite mkuu !Stress za dunia zinachosha mkuu wacha nifurahi tuu
Nilielewa kama ikivyoandika sasa nikaona em nikae pembeniAlaa ! Bora ambavyo hukuelewa kabisa kuliko kama ungeelewa vibaya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wuuuiiiUsiniite mkuu !
Ulitumia busara,sana yaani ungejichanganya tu ingekula kwako !Nilielewa kama ikivyoandika sasa nikaona em nikae pembeni
AiseeMhhh jina tu mkuu wala usiogopee
Salama kabisaa
Ohooo,humu kumbe hatuko wenyewe aisee,naona watu wana like. Balaa hili.Stress za dunia zinachosha mkuu wacha nifurahi tuu
Naona wamegeuza lindo kuwa kombolela wameamua kujificha hukoWatu wamelala..
Walaaa sijasema hayo mimi usinichonganishe eeeAisee
Kwahiyo umemtangazia jimbo liko wazi
Ndio bro ! Ngoja nimfate huko huko aliko !Aisee
Kwahiyo umemtangazia jimbo liko wazi
Naona wamegeuza lindo kuwa kombolela wameamua kujificha huko
Inaanzaje kula kwangu sasa mkuuUlitumia busara,sana yaani ungejichanganya tu ingekula kwako !
Hatarii hawaji hukuNaona wamegeuza lindo kuwa kombolela wameamua kujificha huko